Music Production Studio - Test Mpya ya Muziki

Music Production Studio - Test Mpya ya Muziki

Superman

R I P
Joined
Mar 31, 2007
Posts
5,693
Reaction score
1,707
Tumefungua Music Studio ya Kisasa.

Kama una kipaji cha kutunga na kuimba nyimbo na unadhamira ya kufanya kazi nzuri sana basi unakaribishwa.

Interest yetu ni kutengeneza Muziki utakaopendwa na watu wa rika zote watoto, wazee na vijana na kudumu kwa miaka mingi. Muziki unaokusudiwa utakuwa katika kiwango cha juu na pia utaibua vipaji vipya. Yupo Producer ambaye ni kijana mdogo na anayeijua kazi vyema.

Tupo Tancot House; Sokoine Drive/Pamba Road; Ground Floor; City Centre; Opposite Luther/Life House.

Mawasiliano yote yapitie barua pepe:
jasonsltd@gmail.com
 
Kwa watakaokuwa na ubunifu mzuri, watapewa free offer ya kurecord . . .
 
katika harakati za kuleta mabadiliko kutakuwa na ubunifu mpya kabisa. Mfano angalia kuna baadhi ya nyimbo za miaka mingi zinapendwa na wengi wa kila rika hadi leo mfano za akina Jim Reeves; "Rangi ya Chungwa"; "Vundela"; "Umkombochi" nk nk. Inaweza ikawa si katika maana hiyo strictly lakini inawezekana ku-improve.

yapo malalamiko kuwa Bongo Fleva imepoteza mwelekeo. Nyimbo nyingi zinafanana, beats wanaibiana; zinachuja haraka; mashairi yanafanana. styles, dressing nk nk.

Tunaangalia namna ya kuleta tofauti
 
wewe mwenyewe umepost na we mwenyewe una'comment bila kuulizwa... aarrrrrrgh!!!

hapa si kwa walegeza suruali bana!!
 
Back
Top Bottom