K Kimbori JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 6,470 Reaction score 5,147 Apr 5, 2012 #1 Naomba msaada ndugu zangu. Music Player ya simu yangu (Nokia E61i) inaogeza sauti mpaka mwisho bila ridhaa yangu, na haipunguzi. Je nifanyeje ili kuweka sauti kadiri nitakavyo? Naomba kuwakilisha
Naomba msaada ndugu zangu. Music Player ya simu yangu (Nokia E61i) inaogeza sauti mpaka mwisho bila ridhaa yangu, na haipunguzi. Je nifanyeje ili kuweka sauti kadiri nitakavyo? Naomba kuwakilisha