Music na Maisha

Music na Maisha

Radio presenter kupiga musiki wa kinegeria sana kuliko wa hapa pengine ndiyo sababu!,...
 
Muzik wetu Upo juu sana mtuwangu uktaka kuthibitisha hlo Na Kama unafaham muzk ipasavyo...Nigeria,kenya,Na south Africa hasa kwaito hawatugus hata kdogo.watanzania tunaimba nyimbo inaeleweka lkn nch hizo juu Ni wasanii wachache Sana unaweza kusema wanaimba.yn hao Jamaa waksha jua kle knachobeba chorus bas watang'ang'ana Na hicho tu mwanzomwisho.pesa,sapoti Na swagga flanii hv ndizo znawanyanyua.pia u-seriously tunaukosa sana wenzetu wako serious.mwisho Ni jiografia za nch Na ushamba Wa wasanii wetu.
 
Back
Top Bottom