Keep the good music alive.Me too and and the video is so beautiful
Hahahah umenikumbusha mbalii mfaranyaki nikakumbuka na ile avatar ya Jordan amevaa hereni najua unaikumbuka.😂😂😂😂 Mzima weye? Sikuweka masharti kwamba wengine hawaruhusiwi kupost.
Thank you 🙏🏽 Madam Prishaz. Always from Planet Earth AKA Mfaranyaki 😜😜
Hahahah umenikumbusha mbalii mfaranyaki nikakumbuka na ile avatar ya Jordan amevaa hereni najua unaikumbuka.
Uzi tuliazimia toka awali tukuachie uwe sterling, usiniulize hicho kikao tulikaa wapi na nani...🥂
😂😂😂😂😂 Jordan The GOAT 🐐
Nadhani na wewe ndiye uliyekuwa Mwenyekiti wa kikao na wajumbe wote baada ya wewe wa kutoa ombi sterling wa uzi huu awe BAK wakaitikia kama maccm ndiyooooooo 🤣🤣🤣🤣🤣