Musiba Cyprian kwa njia hii haumtetei Rais ila unamuaibisha, na kuwadhalilisha wanaomtetea kwa hoja

Yani awa wavamizi wa chama wa awamu hii ni Mavi kabisa.Hili jamaa ni kinyesi kabisa.Hila linanawapata mazero brain wenzake.Kuna mtu kanitonya linatumika na kitengo kwa maslahi ya jiwe.CCM ya kikwete ilikuwa ovyo lakini haikufika gredi hii🙄🙄
 
Reactions: prs
Hivi kuna wenye akili timamu huwa wanamsikiliza huyo ?
Mimi nahisi hata yeye anajua type ya watu wanaomsikiliza . Wale wa type yetu hatuna wakati huo
 
Kama anayemlipa huyo mjalaana yupo humo namuomba atafakari maamuzi yake,vijana tunaoiweza hyo kazi tupo mtaani hatuna ajira,achana na huyo mshamba tafuta watu compitent,huyo boya hata ukimwuliza akupe difinishen ya propaganda,hajui,edward bernays hamjui wala sigmund freud,sauti hana,mwonekano hana,ushwishi hana,yuko kama mganga wa kienyeji wa nanjilinji.Kwa kifupi ni mweupe kwenye tasnia ya propaganda na uenezi,mnapoteza hela yenu bure tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah aisee
 
Nimesikia mtu akisema yaliyosemwa ikabidi nishngae ndo nikasikiliza kidogo duh, ni aibu sana
Wala sio aibu, kwa sababu ili iwe aibu, mtu mwenyewe anapaswa kuwa ni mzima, ukimsukiliza na kumwangalia, huyu jamaa ni kichaa kabisa, only haokoti makopo, kichwani ni debe tupu kabisa, hamna kitu kabisa.

Huyu jamaa mimi namuita ni mzee wa makorokocho na, na kuna watu wanayapenda hayo makorokocho.
P
 
Subiri

.....itafika muda kila mtu atashughulika na mzigo wa dhambi zake....muzee habebeki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani huyu mbwa anabishana na mahesabu ya C.A.G kweli? Eti hakuna hela yoyote iliyoliwa na serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…