Musiba Cyprian kwa njia hii haumtetei Rais ila unamuaibisha, na kuwadhalilisha wanaomtetea kwa hoja

Yani awa wavamizi wa chama wa awamu hii ni Mavi kabisa.Hili jamaa ni kinyesi kabisa.Hila linanawapata mazero brain wenzake.Kuna mtu kanitonya linatumika na kitengo kwa maslahi ya jiwe.CCM ya kikwete ilikuwa ovyo lakini haikufika gredi hii🙄🙄
 
  • Thanks
Reactions: prs
Hivi kuna wenye akili timamu huwa wanamsikiliza huyo ?
Mimi nahisi hata yeye anajua type ya watu wanaomsikiliza . Wale wa type yetu hatuna wakati huo
 
Kama anayemlipa huyo mjalaana yupo humo namuomba atafakari maamuzi yake,vijana tunaoiweza hyo kazi tupo mtaani hatuna ajira,achana na huyo mshamba tafuta watu compitent,huyo boya hata ukimwuliza akupe difinishen ya propaganda,hajui,edward bernays hamjui wala sigmund freud,sauti hana,mwonekano hana,ushwishi hana,yuko kama mganga wa kienyeji wa nanjilinji.Kwa kifupi ni mweupe kwenye tasnia ya propaganda na uenezi,mnapoteza hela yenu bure tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti kuonyesha kuwa na yeye ana watu wake(mtu wa intelijensia) anasema kuna watu toka Marekani/Ulaya wanamtumia video, wakati video zote zipo YouTube... This guy is pathetic. Kama hatumii madawa ya kulevya, au halipwi pesa nyingi sana.. then probably ni kichaa/mwendawazimu.
Hahahah aisee
 
Nimesikia mtu akisema yaliyosemwa ikabidi nishngae ndo nikasikiliza kidogo duh, ni aibu sana
Wala sio aibu, kwa sababu ili iwe aibu, mtu mwenyewe anapaswa kuwa ni mzima, ukimsukiliza na kumwangalia, huyu jamaa ni kichaa kabisa, only haokoti makopo, kichwani ni debe tupu kabisa, hamna kitu kabisa.

Huyu jamaa mimi namuita ni mzee wa makorokocho na, na kuna watu wanayapenda hayo makorokocho.
P
 
Kitendo cha Musiba kuendelea kubwabwaja hayo yote na siku zote, bila kuchukuliwa hatua na Jamhuri, maana yake ametumwa. sasa ukimwangalia Musiba alivyo, utajua kwamba hao waliomtuma ni watu wa aina gani. yaani Musiba kwao ndio Jiniasi. Sasa kama Musiba ndio kipanga wao, hao jamaa wakoje? Na hao ndio wako madarakani. na ni pamoja na huyo Rais unayempenda.
Subiri

.....itafika muda kila mtu atashughulika na mzigo wa dhambi zake....muzee habebeki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani huyu mbwa anabishana na mahesabu ya C.A.G kweli? Eti hakuna hela yoyote iliyoliwa na serikali
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom