Mushi wa Ufoo ndio " godoro-la-comfy"

Status
Not open for further replies.

kb52

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
336
Reaction score
110
Kiukweli huyu jamaa ni mtu wangu wa karibu sana..na humu jf alikua anatumia jina la "godoro-la-comfy".

RIP Mushi mkali. Onelove...we ndo jembe la ukweli.
 
Daaaaanh alikuwa mwana familia????!!!!

Mwenye pocha jamani please
 
alizidiwa ujanja na godoro la dodoma akaona isiwe tabu
 
Nimeikumbuka uzi wake uliokuwa unasema "sijawahi kupanda ndege....Nielimisheni."
 
huyo mushi namjua bana,kumbe alikuwa ---- kiasi hicho?wacheni jamani
 
Mbona umem-name calling marhemu? Kwani ruksa?Yawezekana hata ufoo mwenyewe hajui, utawagombanisha zaidi.
 
unauhakika kb52
 
Last edited by a moderator:
nimetafuta post zake nimezisoma zinachekesha sana ila ndio hivyo hatupo nae tena,pumzika unapostahili mkuu.
 
Mjinga huyo, bora kafa yeye katuachia Ufoo wetu. Ndo maana napenda tangazo lile la "Dume"
 
Nauhakika sana...badae tena. ..alitumia jina lingine...he was kinda a funny guy kwenye threads zake. Kuna jina pia alikua akitumia....

kitu kama..." dem-wa-konabar"
 
Nimeikumbuka uzi wake uliokuwa unasema "sijawahi kupanda ndege....Nielimisheni."

upo mwingine aliokuwa anasema mpenzi wake anamjambia wakiwa kitandani, mwingine anasema anapenda wapenz mabonge nk nk, yani alikuaga full comedy.......apumzike anapostahili km ni yeye kweli
 
Nimeikumbuka uzi wake uliokuwa unasema "sijawahi kupanda ndege....Nielimisheni."

Nyingine aliyopost ni hii hapa.....

 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…