Shetani akikusifia hutakiwi kufurahia, jitathmini.Kwa summary tu Rais Mteule Mseveni , amesema kuwa anampongeza Rais John Magufuli kwa utendaji wake ambao kwa sasa utaifanya nchi ya Tanzania kuwa juu kiuchumi.
Mbona unajikanyaga sasa si uende hata Burundi kama unaona kupigana na ghasia huleta heshima nenda huko kuliko na ghasia upate heshima, inaonekana hauna jamii weweYaani nchi za afrika mashariki, afadhali Kenya wana demokrasia tena baada ya ghasia iliyotokea huko nyuma sasa kidogo wanaheshimiana. Naona kuna hatari ya nchi nyingine zilizobaki kuingia kwenye matatizo ambapo Burundi tayari.