Kusali tunasali kila siku bila kupangiana simu ngapi? Ukiwa kiongozi unapaswa kuzama kisayansi zaidi unaweka mbele utaalamu sia sala! Kama nihivyo tungesali basis ukimwi uishe,ama tusali uchumi ukuwe!! Hii vita ya korona tuipambanie kitaalamu tuchukuwe hatua kubwa lakini bila kupaniki lasivyo tutaja juta.
- ibada zisimame tusalie nyumbani
- mabaa gauze tunywee nyumbani
- vyakula isisitizwe take away tusikaekae hotelini
- vifaa tiba viongezwe elimu pia
- misibani waende wachache sherehe ziahirishwe
- tupime watu wengi iwezekanavyo na idadi itajwe
- solo la kariakoo na mengine yenye msongamano yadhibitiwe biashara ifanyike kwa deliveries zaidi.
Tujipange maisha ya kila RAIA ni muhimu kwake na kwa taifa kiujumla! Let's get serious sio mpaka wafe wengi ndipo tushtuke... Ile kinga nibora kuliko tiba ni hakika sio kajimsemo!!!