Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,736
Raisi Museveni pamoja nakutumia mfano lakini tumemuelewa na dongo kwa waafrica na Tanzania ikiwemo. Kaishukuru Tanzania kwa kuamua kujenga reli yennye kiwango mpaka mwanza na Isaka na kusema ni ukombozi wa mara ya pili Tanzania ikiifanyia Uganda.
Pli kasema tatizo letu waafrika ni kukaa nyumba moja ila kwa kubaniana. Kwamba Sebule ni nchi nyingine, Bedroom ni nchi nyingine na bedroom ya pili ni nchi nyingine hivyo ili wachumbani kuja sebuleni inabidi awe na passport. Wa sebuleni anataka abembelezwe ndo amruhusu wa chumbani kupita. Maana ake Sie wenye outlet ya Ocean ndo wale wa sebuleni.
Tatu katupongeza kwa kuifufua Air Tanzania. Anasema Air Uganda ilikufa na akaizika...lakini anadhani imekufa vya kutosha inabidi sasa ifufuliwe. Kasema mengi waliosikia wataongea