Pole sana!!Shikamoo mrundi weye, bado unaomba uraia hapo tz, siku immigration watakuibukia mkimbizi ww lazma utanyea ndoo tu
"Umokosa" ndio nn?Pole sana!!
Kipi kimekushangaza!!?
Umokosa cha kupost!!
Kwa Hiyo sisi tufanyeje kama YM kavaa bullet proof vest?View attachment 474797ukiicheki hii picha kwa umakini utaiona hio bullet proof vest
Age starts taking its tollView attachment 474797ukiicheki hii picha kwa umakini utaiona hio bullet proof vest
Hujaona makubaliano yaliyosainiwa? Kuna dry land internal port inajengwa Mwanza na kuunganishwa na central railway kwa ajili ya mizigo ya Uganda na ndege sita za mizigo zitanunuliwa kwa ajili ya ATCL!