Museveni anajua pa kummalizia Bobi Wine

Museveni anajua pa kummalizia Bobi Wine

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
27,921
Reaction score
39,116
Museveni anacheza smart kwa kumuachia mpinzani wa mchongo (sio Besigye) apige kampeni ila kwenye kutangaza mshindi atatajwa Yoweri Museveni kwa 62.9% tofauti na Malawi ambao mpaka damu imwagike Kwanza halafu uunde Tume baadae maridhiano (Feki).

NB: Game Ile Ile ila inachezwa kwa level 2 tofauti.
 
Hili ndio tulishauri kwa Malawi, hata angeweka kura 55% si angekuwa kiongozi tu' 😂 😂 😂 😂 shida yetu ni kuwa we are not smart upstairs 😂😂
 
"mshindi atatajwa Yoweri Museveni kwa 62.9% tofauti na Malawi ambao mpaka damu imwagike Kwanza halafu uunde Tume baadae maridhiano"! (Feki).
Malawi ipi? Hebu andika vizuri ueleweke, uchaguzi wa Malawi haukuwa na matatizo yoyote Yale.
 
Museveni anacheza smart kwa kumuachia mpinzani wa mchongo (sio Besigye) apige kampeni ila kwenye kutangaza mshindi atatajwa Yoweri Museveni kwa 62.9% tofauti na Malawi ambao mpaka damu imwagike Kwanza halafu uunde Tume baadae maridhiano (Feki).

NB: Game Ile Ile ila inachezwa kwa level 2 tofauti.
Internet imezimwa, Ugeni mzito toka kwa familia ya jirani. BOOM (97.6%).
 
Back
Top Bottom