Kisa;
Hapo zamani za siku hizi, kulikuwa na wanawake wawili mmoja mwerevu na mwigine mpumbavu, walikuwa wanataka kuvuka mto, wote walikuwa wamebeba watoto mgongoni, mpumbavu alibeba mtoto wake lkn mwerevu alibeba jiwe kama mtoto, mwerevu kamwambia mpumbavu ili tuvuke huu mto lazima tuwatupe watoto wetu mtoni, mpumpavu akakubali hakujua kuwa mwenzake alikuwa kabeba jiwe.
Duniani kuna Madikteta werevu/wajanja na kuna madikteta wapumbavu.
Wakati wa uchaguzi Museven alileta wanajeshi nchini ili kumsaidia Samia, wale wanajeshi waliua maelfu ya Watanzania, leo Museveni kashinda uchaguzi pasipo kuua watu wake kama mwenzake.
Mwenye akili na akili zake mpumbavu na mzigo wake.