Shukrani A. Ngonyani
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,182
- 2,015
Hawajawa madikteta kwa bahati mbaya, walijenga hofu na woga kwa watu na wakaanza kuchezea akili zao.
Walianza kubadili na kuweka viraka katiba za vyama vyao kwanza kabla hawajainajisi katiba ya nchi.
Hawa wawili, yaani Robert Mugabe na mate wake Yoweri Kaguta Museven wamebana demokrasia na kuwatesa wenye mawazo na hoja kinzani.
Wamefanya nchi kuwa kama familia yao, ndugu, jamaa, marafiki walamba viatu na watu wa kabila zao ndo watawala na wanaokula mema ya nchi.
Hivyo ni kusema kuwa kubadili na kupachika viraka katiba ni mabadiliko yenye matokeo chanya au hasi, ila mwenye kubadili ndo anajua lengo.
Nawaza tu!