Historia ya Kaguta alikuwa TISS ya Uganda cwakati anaomba kuja kusoma UDSM, na alianza harakati akiwa hapa.
Moja ya sababu za Nyerere kumdharau Amini ilikuwa elimu yake ya darasa la nne, na mapinduzi ya kwanza yalikuwa mwaka 1972
Asante mkuu lakini hii issue nzima ya Uganda niliieleza vizuri kwenye jukes la historia chini ya kichwa cha habari Iddi Aminsio kweli mkuu soma kitabu chake cha the mustard seed ndio utaelewa vizuri kaguta alipata scholarship ya jumuia ya afrika mashariki na kuja kusoma udsm ndio akapanda tren kuanzia mwanza mpaka dar, na akatafuta geto mazese midizini nyerere na museven kwa mara ya kwanza walikutana udsm kipindi ambacho akina museven, lowasa na jk wakiwa viongozi wa daruso kipindi hicho mwalimu alienda kuongelea ujamaa na museveni akamuuliza maswali ya kukera saaana, nyerere akamjibu kwa hasira, na alipomaliza chuo akaenda uganda akapata kazi kwa serikali ya obote na matokeo yake baada ya obote kupinduliwa ikabidi museven arudi tanzania na kuomba msaada kwa nyerere baada ya kumwambia kua anataka kumpindua amini ndio mkakati ukaanza wa kumpeleka jeshini yeye na kundi lake, nyerere si tu alimdharau amini kwa elimu yake bali alitaka kumrudisha madarakani rafiki yake obote ambae alipoenda uingereza field marshal amini alimpindua... pia kuna inshu ya ukatoliki na uyahudi navyo vilitumika na pia ukweli utatuweka huru jeshi la tanzania halikua na uwezo wa kumpiga amini tulipata msaada mkubwa kutoka nchi nyingi.
Asante mkwe lakini hii issue nzima ya Uganda niliieleza vizuri kwenye jukes la historia chini ya kichwa cha habari Iddi Amin
Unaamanisha kwamba first lady Janet si mama mzazi wa Gen Muhoozi ?yap ni kweli kabisaa Iddy alichokozwa na hao akina kagame, museven na fred rwegema ni product za nyerere wamepitia monduli na mpaka kupelekwa vietnam kwa kodi za watanzania, museveni kaishi saana katika mapori ya muleba na alikua anapewa silaha na mambo mengine kwenda kumchokonoa iddy pia inasemekana hata mama yake mzazi general Muhozi ni mhaya ingawa historia inatuambia kua nae alipotea kama Ben saanane baada ya NRM kuchukua nchi
Unaamanisha kwamba first lady Janet si mama mzazi wa Gen Muhoozi ?
Ninachokifahamu muhoozi, natasha,patience na diana ni watoto wa janet na yoweri kwa pamoja, lahasha mmoja wao ni mpango wa nje.pole sana mkuu kama ulikua hujui hilo..... nenda kabhaale huko masaka kaa na wazee watakwambia muhozi mama yake ninani na kwanini alikulia zimbabwe na sio uganda.... kalelewa na familia ya dikteta Mugabe.
Naona unataka kuleta historia za misikitinisawa mkwe wangu ila tatizo kubwa tulilonalo ni kulishwa matango pori kuhusu ukweli wa vita ya kagera.... it was no war of necessary it wa a war of choice.... amini alichokozwa na kupewa majina mengi ya ajabu ajabu na matokeo yake kila ambae aliwekwa na nyerere hakuna la maana alilolifanya kuanzia bina issa, yusuph lule, obote na mwenyewe na matokeo yake huyu dikteta wa kinyankole ambae mpaka sasa hataki kutoka madarakani.
Ninachokifahamu muhoozi, natasha,patience na diana ni watoto wa janet na yoweri kwa pamoja, lahasha mmoja wao ni mpango wa nje.
Wakuu kama umemsikiliza Yoel Kaguta museveni basi utagundua mzee huyu alikuwa anatupa dongo kwa nyombo vyetu vya usalama Juu ya swala la Ulinzi wa mipaka yetu, Museven alipita Horohoro Tanga uku akiwa na hizo Bunduki bila kugundulika mpaka Kampala?
Nani amekwambia amesahau?Nyerere alikuwa na chuki binafsi na Idd Amin,na sababu kubwa ni urafiki wao na Obote hivyo alitumia kila mbinu kumuangusha Idd Amin.Mseven alikuwa kijana wa Nyerere,hata kusoma alisoma Udsm na akina John Garangi na wengineo.Walikuwa na umoja wao enzi hizo za Dar school,wakienda kupigana Mozambique,Angola na kwingineko dhidi ya ukoloni,ni katika mrengo huo,M7 alipata hifadhi Kagera na hata kuwezabkupitisha siraha atakavyo.Leo kazeeka anajifanya kusahau,ni mpuuzi tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbulura hujui utokako wala uendako historia ndogo kama hiyo hujui?bado mnataka nchiWakuu kama umemsikiliza Yoel Kaguta museveni basi utagundua mzee huyu alikuwa anatupa dongo kwa nyombo vyetu vya usalama Juu ya swala la Ulinzi wa mipaka yetu, Museven alipita Horohoro Tanga uku akiwa na hizo Bunduki bila kugundulika mpaka Kampala?