carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
hao mbwa wana six pack??
[emoji23] [emoji23] [emoji23]hao mbwa wana six pack??
Why mkuu? Any pets?Sijawahi kupenda mbwa maishani mwangu.
Why mkuu? Any pets?
DuuuhIphone ndio my pet. Zaidi ya hapo sipendi mnyama wa aina yeyote.
Wanatia kinyaa sana.
Daaaah kudadeki noma, yaan hadharani namna hii?
kwa ndugu zetu wa mkoa wa iringa hiyo ni mboga nzur sana