Muscat Oman

Mkuu kuna baadhi ya maeneo unachange tu, from Oman rials to Thai baht hapo Bangkok, hata Pattaya kuna sehemu unaweza change Oman rials,ungeuliza wenyeji wangekuelekeza,watalii wengi wanaoenda Thailand ni from GCC countries ""Nchi za gulf"
 
Mkuu kuna baadhi ya maeneo unachange tu, from Oman rials to Thai baht hapo Bangkok, hata Pattaya kuna sehemu unaweza change Oman rials,ungeuliza wenyeji wangekuelekeza,watalii wengi wanaoenda Thailand ni from GCC countries ""Nchi za gulf"

Pesa yoyote yenye kuheshimika duniani na kukubaliwa huwezi kuhangaika mpaka kwa wenyeji kukusaidia kubadili.

Mimi Riyal zangu Bangkok nilihangaika nazo sehemu nne bila mafanikio. Sikatai kuwa kuna sehemu zinaweza kukubalika pengine, lakini niliambiwa na jamaa wa Bureau ya Bangkok kuwa hawazitaki.

Mbona nabadili Yen ya Japan bila tatizo kokote?

Mimi si mgeni wa safari, Sheikh. Nafahamu kuwa watu wa Oman na Saudi Arabia wanapapenda sana Thailand, hasa kwa ajili ya matibabu na starehe.

Kuna Arab Town Bangkok , ipo Mtaa wa Sukhumvit Soi 3, au kwa treni ni Nana station.

Unakula Sheesh Kabab za Iraq, lakini kwa bahati mbaya ni sehemu ya umalaya, hasa wa kutoka Afrika.




Na haya ndiyo mambo rasmi wageni wengi wanafuata Pattaya.





Muuzaji na Mnunuzi.
 
Uko wenzetu wanaishi dunia nyingine acheni tu ngoja si tuendelee kuwasifia
 
Ktimoto wanaingia vipi hapo Muscat?

Kuna wageni wengi kutoka duniani kote.

Wanajaribu kuwavuta ili kupunguza kutegemea uchumi wa mafuta tu.

Mimi nilishawahi kukuta kitimoto katika buffet ya hoteli yangu tena wakati wa mfungo wa Ramadhan.

Nilishangaa sana, hata Dubai sijawahi kuona kitimoto. Wapo open-minded sana.
 
CleverKING,

Ulikutana na mabango haya Pattaya?

Kuna baa nyingine, hawataki wateja wa Uarabuni kutokana na fujo zao wakilewa.

Lakini sijaona watu weupe kufukuzwa japokuwa wanafanya fujo sana na ni wengi zaidi.

 
Mhj hao waafrica kwa kujiaibisha hadi aibu

Kusema ukweli, siyo raia wa Afrika tu.

Hata raia wao wenyewe wanajiuza sana. Wanatoka kijiini, hawana elimu na kazi rahisi na inalipa haraka ni kujiuza kwa watalii milioni 30.

Watalii wengi ni "Sex Tourist". Na Thailand wamejiandaa kuwahudumia jinsia zote.

Mara nyingi, wageni wazee wanachanganyikiwa na raha za Thailand. Wanarudi kwao, wanavunja ndoa na kurudi Thailand kuoa demu wa miaka 19 aliyekutana nae baa.
 
Hahahaaa!! Thailand ni Nchi hatari sana aisee,unaweza ukasahau kurudi kwenu,kuna wazungu na hasa wazee wameamua kabisa kuhamishia makazi yao huko kutokana na maisha kua cheap,ila Thailand ukikamatwa na mtoto wa shule ni kesi kubwa sana!
 
Hahahaaa!! Thailand ni Nchi hatari sana aisee,unaweza ukasahau kurudi kwenu,kuna wazungu na hasa wazee wameamua kabisa kuhamishia makazi yao huko kutokana na maisha kua cheap,ila Thailand ukikamatwa na mtoto wa shule ni kesi kubwa sana!

Nchi nyingi Asia ukiwa na pensheni ya $1500 , wanakupa visa ya kuishi kirahisi ili wachukue pesa yako na kuendesha uchumi wao.

Kuna wazee wengi tu. Kuna wanajeshi wengi wastaafu wa UK wanaishi Thailand. Nadhani UK haihitaji kabisa kutuma MI5 Thailand, wanajeshi wastaafu wanatosha kuwa macho na masikio yao mitaani.

Mtoto wa shule siyo rahisi kwa kuwa kuna wakubwa wa kutosha kuwanunua baa kama unapenda hizo starehe.

Kila mwezi wanamiminika Bangkok na miji mikubwa mingine ya utalii kutafuta "Thai Dream" kirahisi, na kila mwezi, Sex Tourist wanaongezeka.
 
daaaah nilipoona hiyo ardhi ya jangwa nakumbuka, sehemu za aden huko yaman na dammaj full vumbiii ila kule milio ya risasi ni kitu cha kawaida sana
 
Duh...huu mjadala wenu unavutia..ngoja namimi niwe naplan angalau safari moja ya nje kwa mwaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…