wamekua wwakubwa wamebadili majina wanajiita diamond na wema.
Kabisa. Nikikumbuka ile series ya vitabu vya 'TUJIFUNZE LUGHA YETU' huwa inanikumbusha mbali sana.
Hao watunzi wa siku hizi hiyo lugha yetu yenyewe hawaijui!!!!
Ila ile story ya Manenge ilikuwa bomba sana " Tumbo niache nimwachie Manenge Uji" Hawa vijuza nadhani walishakufa kwenye ile hadithi
Tena hawa enzi hizo walikuwa darasa la pili
Aise vile vitabu havitakaa vitokee tena, hata ukiangalia vitabu vya kiswahili na jiografia navyo vilikuwa na mtiririko mzuri kuanzia darasa la tatu hadi la saba
Miaka hii sasa kila shule na vitabu vyake lol!
yaani ilikuwa ni balaaa aiseee!! Ile hadithi ya Babu aliyekuwa mjanja(sikumbuki ni darasa la ngapi) anamuongelesha mjukuu wake ili chai ipoe........ Mara utasikia Siafuuuuuuuu!!!! Kumbe ndio anapuliza chai hivyo........
Ulieleta hii mada Barikiwa sana,,,!! Umenikumbusha KAMBI ya KABOYA dah,,,! Nway kipindi kile shule zilikuwa tam sana! Ukifika shule unapiga mchakamchaka wa Nguvu Damu inachemka ukiingia CLASS mwili uko vzr Kiukweli zilikuwa ni cku zakupendeza sana! natamani wanangu nao wangepitia mambo km yale lkn waapii,,!! Kipindi hicho madogo 2likuwa wakakamavu ckdg Sio cku hz watoto hata kupanda school BUS hadi kashikwe mkono kamelegeaaa khaaa,,,,!!!
Mr & Mrs Daud kwa sasa wote marehemu, bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe. Mr Daud alikuwa na rafiki yake kipenzi Mr Balali. Mr Balali alipo mpata first born wake akampa jina la Daud. Baadae Daud Balali akawa msomi mzuri sana mpaka akawa mfanyakazi bank ya dunia. Baadae Mkapa akamwingiza choo cha kike naye akiingia kichwa kichwa. Kwa sasa Daud Balali kafa Tanzania ila nchi nyingine yuu hai. Amekuwa kama Michal Jackson ila hali huku Tanzania Dada zake, Mdogo wake wa kiume wameuza viwanja, mashamba yake kama awana akili nzuri. Yale maroli aliye yaacha kwa kaburu jirani yake sijui yamepotelea wapi. Yule mzee msimamizi wa mali zake almanusra wamtoe roho, mzee kaumwa ehheee mpaka sasa ufahamu wa ubongo wake umekuwa upepo.
Mussa yupo uturuki sasa hivi na mke wake mzungu ili hali Neema alizalishwa ovyo ovyo hana mbele wala nyuma. Baraka yeye ni lecture TorontoUniversity.
wamekua wwakubwa wamebadili majina wanajiita diamond na wema.
Watoto wageuka mawe... Awafu mwenye nguvu.. Mkwawa shujaaa Mchoyo hana rafiki.. Andunje na wadudu.. Safari yenye mkosi.... Jogoo aliyesema.... Heri mimi sikusema...
Ulieleta hii mada Barikiwa sana,,,!! Umenikumbusha KAMBI ya KABOYA dah,,,! Nway kipindi kile shule zilikuwa tam sana! Ukifika shule unapiga mchakamchaka wa Nguvu Damu inachemka ukiingia CLASS mwili uko vzr Kiukweli zilikuwa ni cku zakupendeza sana! natamani wanangu nao wangepitia mambo km yale lkn waapii,,!! Kipindi hicho madogo 2likuwa wakakamavu ckdg Sio cku hz watoto hata kupanda school BUS hadi kashikwe mkono kamelegeaaa khaaa,,,,!!!
Eti babu anaweza kunywa chai ya moto. Akaanza mbwembwe mara ohhhh!yaani ilikuwa ni balaaa aiseee!! Ile hadithi ya Babu aliyekuwa mjanja(sikumbuki ni darasa la ngapi) anamuongelesha mjukuu wake ili chai ipoe........ Mara utasikia Siafuuuuuuuu!!!! Kumbe ndio anapuliza chai hivyo........