Murtaza Mangungu na Engineer Hersi OUT

Murtaza Mangungu na Engineer Hersi OUT

Hersi bado mdogo sana, umaarufu wa kuwa Yanga tu hautoshi kupata ubunge
Udogo wa hers ni upi!?
Kuna wa umri wake ni mawaziri kabisa Ile sakata ya hatuchezi iliwaweka njia panda bila wao kujua
Rais anapomtuma Waziri Ile ni order ila wao wakashikilia kuonana na Rais kimsingi walitaka kuhujumu nchi ili ifungiwe isiandae Chan na afcon labda kwa rushwa walizopewa na nchi kubwa zinazowinda hizo mashindano
 
Seniority kwenye Chama hasa kwenye eneo alilogombea
 
Habari ndio hiyo, Mangungu na Hersi wamepigwa chini

Simba oyeee
Familia ya Rais SAMIA SULUHU HASSAN
1. Mtoto - Wanu Hafidh Ameir
Jimbo: Makunduchi, Zanzibar

Familia ya RAIS MSTAAFU MRISHO KIKWETE
1. Mke - Salma Kikwete
Jimbo - Mchinga

2. Mtoto - Ridhiwani Kikwete
Jimbo - Chalinze

Familia ya Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo pinda
1. Mtoto - Geophrey Privatus Mizengo Pinda
Jimbo - Kavuu

2. Mtoto - Sylivanus Mizengo Ole Pinda
Jimbo - Ngorongoro

Familia ya Mzee Wasira
1. Mtoto - Kambarage Masato Wasira
Jimbo - Bunda Mjini

Familia ya Hayati Rais Ali Hassan Mwinyi ambaye pia mtoto wake ni Rais wa Zanzibar (Hussein Mwinyi )
1. Mtoto - Abasi Ali Mwinyi
Jimbo - Fuoni, Zanzibar

2. Mtoto - Fahmy Ali Mwinyi
Jimbo - Mwanakwerekwe, Zanzibar

3. Mtoto - Asma Ali Mwinyi
Jimbo - Welezo, Zanzibar

4. Mtoto - Abdulla Ali Mwinyi
Jimbo- Mahonda, Zanzibar
 
Back
Top Bottom