Muosha rungu live interview on johanah's show!

Muosha rungu live interview on johanah's show!

Hakuna kitu sipendi joanah kama umbea nachukia sana kufuatiliwa ka mkia!
Ingawa napenda kufuatilia wengine[emoji12]

DJ sepetu
Nimependa nilipopigia mstari,umekuwa mkweli
Kufatilia mambo ya wengine ni tabia zetu sana sana sisi wa kike,ni kitu gani kimekufanya uwe hivyo ulivyo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom