Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Dell inspiron..... ipo na core i3 2nd gen. Nikiupdate graphics drivers inawaka ikifika mda wa kurun system haidisplay chochote hata ikikaa miaka miwili. Shida itakuwa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu performance yake ipo vip maana hiyo ni quadcore processor

Sent using Jamii Forums mobile app
Ina perfomance kubwa kushinda core 2 duo, ila inaachwa mbali na dual core ya kisasa.

Mfano Q9400 perfomance
-single core 1127
-multi core 3341

Compare na i3 ya kisasa kama i3 7300.
-single core 2308
-multi core 6378

Hivyo unaona dula core yenye hyperthread ya kisasa ina nguvu kama mara 2 ya quadcore ya miaka 10 iliopita.
 
Kwa budget yetu ya kibongo kwa hizo performance naona sio mbaya sana maana ukiaangalia bei ya hiyo core i3 6gen ni kubw kishenzi kuliko hako ka quadcore ka zamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Mkwawa Kuna huu mzigo mshkaji kaniletea

Dell E 6400 Series
Windows 10 Pro
Processor - Intel(R) Core(TM)2 Duo CPU P8600 @ 2.40GHz 2.40 GHz

Installed mem(RAM) 4 GB

System Type 64.bit operating system, x64- based processor

Name DESKTOP- TDF4UPS

Naomba unipe tathmin yake maana alinitahadharisha kuhusu charging system yake. I am little bit worried maana siko vizuri katika behavior za ku charge hivi vifaa
Ni Latitude E 6400 Series

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kuna mtu kutoka zanzibar anataka aniuzie Laptop HP PaVilion RAM 16GB, 2tb HDD Kwa 460K anaefahamu hizi bidhaa maana bei na uwezo wa PC Naona haviendanii kabisaa au ni fake product

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom