Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Bado inazima ila nikiek low inacheza kidogo harafu inajizima
20180915_222036.jpg
 
Mkuu ivi naweza kucheza game kubwa kwne processor inayoishia herufi u au y mfano kuna hii Asus vivobook i5-8150u
Sio 8250u?

Cpu yake itacheza almost game zote duniani. Ila gpu inategemea, kama haina dedicated gpu itacheza ila kwa low quality.

Kama upo serious na games tafuta i5 8400H laptop zake ni kama $700 na nyingi zinakuja na kuanzia Nvidia Gtx 1050.
 
Poa mkuu naona kuna Dell G3 inauzwa almost 768.98
 
Chief-Mkwawa vipi hizi machine, nina mpango wa kununua machine ambayo nikigusa kwenye CAD au Gaming iwe vema
View attachment 876668View attachment 876669View attachment 876669
Mkuu utofauti wa 8th generation na 7th generation ni mkubwa sana. Yaani tofauti ya i5 7300HQ na i5 8300H ni mkubwa sana. Hizo i5 za 8th generation zina core 6 compare na core 4 za 7th generation.

I5 za 8th gen ni bora kushinda hadi i7 za 7th kama 7700HQ

Hapo hio Asus ndio ina 8th gen

Pia kuna kitu ufahamu hio asus ina gtx 1050 na sio 1050ti ambayo ina nguvu zaidi. Kwa dola 50 ama 100 zaidi unaweza pata dell ama Acer zenye 1050ti na i5 8th gen.
 
Bado inazima ila nikiek low inacheza kidogo harafu inajizimaView attachment 867515
Mkuu kama alivyojibu jamaa hapo juu una gpu mbili. Sichezi hilo game ila magame mengi yanakuwa na option ya kuchagua gpu. Labda cheki graphics option za game lako kisha badili gpu kama ilikuwa ni nvidia eka intel au kama ni intel iweke itumie nvidia.
 
Mkuu hii ya kwangu naona ni 6th gen, hii pc naitumia sana kwa kazi za ofisin ambazo ni za utumia ERP ila nataka nijaribu kuweka gta 5, vp itakubali kwa hzo specs?
1537864349423.png
 
Nimebarisha simu kutoka tecno boom j8 kwenda huawei p8 na namba ile ile nimeitumia kwenye simu yangu mpya ila cha kushangaza groups zote za whatsapp na namba zingine zimepotea ni kama nimeleft magruops, tatizo litakuwa nini? Maana hakuna notification yoyote ninayopokea na hakuna tena magroups!
 
Hio boom j8 bado unayo?hujaiflash?
 
Hapo pagumu maana backup yako ya zamani huna, msg haziwezi rudi na kama namba hazipo kwenye email pia majina hayawezi kuja.

Kuhusu magroup jaribu ku scroll chini kabisa hayapo?
Hayapo hata nilipokuwa nasave majina nilikuwa nasave kwenye e-mail na sio kwenye simu, nikijaribu kuyatafuta kwenye e-mail hayapo
 
Back
Top Bottom