Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Ni ndogo sana mkuu. Perfomace ya single thread ni kama i3 sema haina hyperthread hivyo kwenye multicore inapitwa na i3.

Sema hio ni APU hivyo kwenye graphics kidogo ipo vizuri. Inaweza fanana na 3rd gen ya intel.

Games za zamani kama 2014 kushuka nyingi unacheza na matumizi ya kawaida karibia mambo yote utafanya.
Asante sana mkuu
 
Naziona kupata hapa mkuu ila kengele ya utapeli inalia. Una mtu zanzibar unayemfahamu?

Hp Pavellion Core i7 (New**Offer) Zanzibar Urban/Wes1918036

Possibility ya kuwa tapeli huyo jamaa ni kubwa kama huna mtu wa kwenda kwenye duka lake usinunue kwa kutuma hela
Chief hujakosea huyu jamaa ni tapeli, anachukua picha za watu wengine ana post kama zake analiza watu. Ukicheki jamaa: laptopbeipoa(houseofcomper) (@computerbeipoa2) • Instagram photos and videos mpaka kaamua kutoa warning kupatana kisa ya watu kama hawa.
 
Computer zake zimetulia ila bei ni balaa
Kweli, lakini tatizo sielewi kuwa hizi ni new au refurbished; maana kama ni new basi ana bei nzuri kuliko cost ya mimi kuorder na kuileta mwenyewe toka Amazon hadi kuifikia mkononi.
 
Kweli, lakini tatizo sielewi kuwa hizi new au refurbished; maana kama ni new basi ana bei nzuri kuliko mimi kuorder na kuileta mwenye toka Amazon.
Ni refurbished kutokana na maelezo yake. Pia ni za mauzo sana hizo ultrabook, zipo ambazo bei zake ni afadhali kama hizo za gen ya 8 kuuzwa 1.4m sio mbaya. Ila gen za nyuma kama gen ya 3 kuuzwa laki 8 wakati kkoo unapata hadi laki 3 mpaka 4 ni ghali.
 
Mimi kwa kweli kanishika hapa:

though ningefurahi kama ingekuwa na Gtx 1060 lakini hii specs zake zinanitosheleza kwa renders zangu After Effects au hata kwenye Gaming. Sema kwa hiyo bei, tena kama unavyosema refurbished. Napata wasi kidogo
 
Kwa 1050 unaipata mpya mpaka around dola 600 wakati mwengine. 1050ti ndio inakuwa juu kidogo. Tena sasa hivi i5 ina core 6 badala ya nne ukipata i5 gen ya 8 ni bora kuliko i7 gen ya 7.

Useme sijajua kodi inakuwaje, kama hizo pia zina exemption?
 
Juzi niliongea na wale wa mama pale posta wanaokokotoa kodi, akaniambia kwa Laptop na Simu (electronics) wanakata tu 18%. Vitu kama nguo ndio wanakata 25% + 18%.
 
Hii vp mkuu lenovo w520 i7 4gb ram 2.4ghz
Mkuu w520 ni workstation na my guess hio processor ni i7 2760QM nenda my computer kisha right click kisha properties kuthibitisha.

Hio cpu ina nguvu sana inafanya almost matumizi yote heavy kwa ufanisi. Kuanzia games, video editing, CAD, etc

Sema Gpu yake sio nzuri sana, unles inakuja na dedicated gpu ya Nvidia ama Ati.

Pia sababu ina nguvu sana itakula sana umeme.
 
Kuna tofauti gani kati ya QM na MQ?
 
View attachment 866905vp hii inafaa kwa ajili ya video editing mfano Kama zile za music video.pia app/program gan zinafaa kwa ajili ya Kuedit video wakuu.?
Inabidi utumie software za quicksync zitakuwa na speed. Nina pc yenye hio cpu, tafuta software inaitwa cyberlink powerdirector, itapiga kazi vizuri.

Sio lazima utumie hio tafuta software yoyote ya quicksync kama vegas pro itapiga kazi. Za Adobe hazina, ukiweka zitapiga kazi ila zitakuwa slow.
 
Kuipata hyo ni online au...website ni ipi?
Nakushauli uingie youtube usearch jina la software umalize na full cracked. Utakayoipata check comments za wadau kama imeenda poa kwao then ktk read more utaona download links.
 
Back
Top Bottom