Muongozo Wa Biashara ya microfinance

Unatumia mbinu gani kupata wateja wa kutosha na waaminifu?
Tunamwaga vipeperushi mtaani vya kutosha na kabla mteja hajapewa hela anaenda kukaguliwa biashar anayofanya kutathmini kama atawez kurudisha mkopo anaopewa baada ya apo hupewa mkopo na
kw mteja mpy lazma azie kias 300k akirejesh vzr bila ya kusua sua anapanda kw 200k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…