human resources management je wakuu ??
Dogo mi nmesoma hiyo PspA hapo udsm ni course nzuri jitahidi na fuata kile moyo wako unakuambia hata kama ajira ni ngumu lakini ukisoma pspa ukitoka unatoka moja kwa moja. Na ukisoma public administration ajira zake mpaka za hr unafit so usife moyo komaa kila mtu ana namna yake ya kufanikiwa.
Xanks Mkuu,,
Vp Wew Ulfankiwa!!
Bongo hata usomee urubani,msoto uko pale pale tu.
Ww soma education ndugu uwe na uhakika wa ajira .koz nyengine majanga matupu ndugu.achana nazo utakuja hangaika.au kama unweza kujiajiri kasome ,sio kozi mbozi ,tatizo haina ajira.