Muongozo: Mapokezi ya Lissu

Acheni Mambo ya kisanii
Tangu lini risasi ikapigwa upande wa kushoto maumivu yakatokea upande wa kulia!
Alafu dereva Jana hata kovu!
Ngoja she, tena she na dereva wake ndiyo mtajua nchi haichezewi
Ndo mjue ni kwa jinsi gani Mungu ni mkubwa
 
Tuko pamoja mkuu.... Ila nadhani huu msiba umetengenezwa na ccm ili kuvuruga mapokezi muhimu sana ya mh Tundu LISSU......

Ccm chama na serikali yake ya kishetani hawashindwi
Wafuasi wa Lisu na akili imejaa matope!
 

Mbona hujatuambia kuwa tusisahau kubeba na Maji ya Kunawa Usoni, tuvae Raba, tuwe wepesi Kukimbia na tuvijue Vichochoro vyote Muhimu?
 


Mmeamua kutengeneza msiba ili kupunguza moto.
 
Hivi hizo nguo zinagawiwa wapi? Nasikia watazigawa CHADEMA - ila sijui watakuwa wapi!
Chadema sio CCM wawe wanagawa nguo kama CCM mnavogawa tshirt na kanga. Wananchi tutatafuta nguo nyeupe na nyeusi kuonyesha support yetu kwa Tundu Lissu na Mzee wetu Mkapa
 
Mbona hujatuambia kuwa tusisahau kubeba na Maji ya Kunawa Usoni, tuvae Raba, tuwe wepesi Kukimbia na tuvijue Vichochoro vyote Muhimu?
Mapokezi ni ya amani kama tu ilivyokuwa kwenye mapokezi ya Hussein Mwinyi kule UNGUJA na Pemba bwashee. Hakuna haja ya kubeba maji na vitambaa . Tuaenda kufanya kama wana CCM walivyomfanyia Hussein Mwinyi kule Zanzibar
 
Naunga mkono hoja
 
Acha kudandia treni kwa mbele! Wakristo wamezoea kuvaa nyeusi na nyeupe msibani hivyo usije ukajifanya baadaye kuwa nilisema.

Pili mlikuwa na Tahirts zenu jitahidini kuzifua mvae, pia hizo mlizochapisha zivaeni maisha yaendelee.

Mwisho kama kawaida wazee wa kuandamana mitandaoni tunawatakia kila lakheri. Vidole na macho vitaendelea kudumu kwenye keybords zenu.

Pumzika kwa Amani Mzee wetu Benjamin William Mkapa. Tunaheshimu msiba wako na atakaeleta fyoko imekula kwake.

Queen Esther
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…