Haha ha haaaa... DuhTuko pamoja mkuu.... Ila nadhani huu msiba umetengenezwa na ccm ili kuvuruga mapokezi muhimu sana ya mh Tundu LISSU......
Ccm chama na serikali yake ya kishetani hawashindwi
Watanzania ni watu wenye uelewa mpanaWee sio mtanzania kwnn unapinga asitusemee ?? Weee nani nchi hii
BEBERU KWAKO,KWA WENZAKO NI KUKU MTAMU....USIMUHUSISHE MUNGU NA UHUNI WENU NA HUYO TUNDU LISU WENU MNAMCHOSHA SASA HUYO ANA NURU GANI BEBERU MKUBWA HUYO
Kwa taarifa yake tu, maandalizi ya mapokezi ya shujaa wetu yamepamba moto. Lumumba wajiandae tu, wasiompenda ndo huyo anakujaBEBERU KWAKO,KWA WENZAKO NI KUKU MTAMU....
yaani nyie mnajisumbua na ulimbukeni wenu hivi huyo tobo lissu kama mnampenda imekuwaje tena nyalandu kaongoza kwenye kura za mwanzoni ndani ya chama au hata hamjui? nyie mnacheza na mbowe hamumjui vizuri ulizeni kina ben saa kumi wako wapi kazi ya mbowe si ya kitotoKwa taarifa yake tu, maandalizi ya mapokezi ya shujaa wetu yamepamba moto. Lumumba wajiandae tu, wasiompenda ndo huyo anakuja
Kwahiyo timu zisizoweza kuchukua ubingwa wa Tanzania zijitoe zikacheze daraja la pili ziiachie simba na yanga? Hivi unajua faida za kugombea urais, unajua hata usiposhinda uchaguzi, wingi wa kura za urais unachangia kupata wingi wa viti maalum vya ubunge? Unajua chochote kuhusu hili, au unaleta siasa mfu hapa jukwaani?
Hii Tabia ya kuwasemea watanzania ikome!
Hii Tabia ya kuwahusisha watanzania na Mambo ya kihuni na muhuni wenu mkome!
Lisu ni na Nani nchi hii?
Ugeni gani unalo jiji???? Kwa taarifa yako nchi karibu zote duniani hakuna ndege inayoingia wala kutoka. Sasa huo ugeni ni upi uzuie mapokezi ya Lissu!!!Muda wowote kuanzia leo Lazaro Mambosasa atatoa statement ya kupiga marufuku maandamano na mikusanyiko Dar kwa sababu ya ugeni ambao jiji linao kutokana na msiba.
Hizo T shirts zenu zinageuka night dress.
Inamaana huyu mzee hajafa! Na kama amekufa itakuwa CORONA alitoka nayo kwenye mkutano wa CCM Dodoma. Na wengine watafuata kutoka kundi lile.Tuko pamoja mkuu.... Ila nadhani huu msiba umetengenezwa na ccm ili kuvuruga mapokezi muhimu sana ya mh Tundu LISSU......
Ccm chama na serikali yake ya kishetani hawashindwi
Ni mwanasheria by professional, tena sio mwanasheria tu, bali ni mwanasheria nguli. Hajawahi kuwa rais, je alikuwa anaishi vipi? Kumbuka kabla ya kuwa mbunge pia, alikuwa na kazi yake ya uwakili, na alikuwa anaishi vizuri tu. Usimlilie Lisu maana yeye kashajijengea jina, pigania vijana waliomaliza shule huku hawana ajira.
Mungu hana ushirika na chuki yako.USIMUHUSISHE MUNGU NA UHUNI WENU NA HUYO TUNDU LISU WENU MNAMCHOSHA SASA HUYO ANA NURU GANI BEBERU MKUBWA HUYO
Mwanadamu hataishi kwa siasa tu.
No hate No Fear! Welcome back home Kamanda Tundu Antipas LissuTundu LISU NYAGHAAAAAMBA
Jibu ni kuwa hatokosa uraisi mwaka huu. Njia ni nyeupe sana kwa Tundu Antipas Lissu mwaka huu.