Muongoza..

Awadh Upunda

Member
Feb 8, 2017
27
95
Naomba kujua nini kazi ya hki kifaa maana cjaelewa ila najua kinatumika kwnye decoder ya explore na nimeona sehemu kimefungwa hki kifaa na fundi ametumia LNB ya kawaida na co smart LNB km tulivyozoea katika Explore zote
Je kifaa hiki kinabadilisha signal za LNB ya kawaida kuwa smart au fundi aliamua tu kufanya ivo na mteja analalamika kuwa Dstv yke inakatakata....muongozo tafadhaliiii
171008165754_multi.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom