Tatizo bw. Mengi hukimbilia media na wananchi anaposhindwa kushawishi juu ya mambo yake ya kibiashara.
I support Muhongo kwamba watanzania hatuna uwezo.....suluhisho sio kuwapa wageni bali ni kama alivyotuasa baba wa Taifa!
Mengi na kundi lake waache ulaghai.
Awww Hapa wote wamekosea kusema kweli tuache utani mh mengi kujifanya kwamba sisi watanzania tuna 100m usd na zaidi kufanyia utafiti tu wa mafuta huu ni utafiti mnaweza fika chini hamna kitu ni kudanganyana sio watanzania wengi wenye huu uwezo lakini pia huyu prof kutoa majibu Kama haya sio vizuri mengi ana tabla ya Kwenda kwenye vyombo vya habari yaaani ni la vile mwalimu mkuu basi akitangaza shule nzima isikilize suluhisho ni hawa watu kukaa pamoja naamini bongo kuna watu wana bilioni 2/3 pengine hadi bil 10 wakikusanywa hawa wakaundiwa kampuni au serikali ikawaalika wananchi kununua hisa ili kupata mtaji am pretty sure hizo hela zitapatikana lakini sio kubishana ili kila mmoja ajione ye zaidi yaaani hawa watu hawana washauri ? Pumbaf Kabisa
Tatizo lao ni kuendekeza njaa,Wametufikisha hapa tulipo leo, maproso hawa
Sekta ya mafuta na gesi ni moja ya sekta zinazohitaji mitaji mikubwa na tekinolojia ya hali ya juu,kwa mfano kuchimba kisima kimoja cha baharini kina kirefu(offshore deep water) kinahitaji si chini ya $100 na pia sio kwamba 100% utafanikiwa kupata gesi ya kibiashara kwa hiyo risk ni kubwa,,Mengi anapodai heti serikali isitoe leseni kwa wageni na kusubiri wazalendo waje wawekeze hilo swala si sahihi kabisa,kwani hapa Tanzania hakuna mtu binafsi mwenye msuli wa kuwekeza ktk gesi sembuse kina kirefu cha maji,na pia akumbuke si kweli kua Tanzania haina sera ya mafuta na gesi,sera ya mafuta na gesi ipo na ndio iliyotumika kutoa leseni zilizopita,,pia akumbuke tuna ushindani wa kuvutia uwekezaji ktk sekta hii,kwani kwa sasa Afrika mashariki nzima nchi zipo ktk tafiti za mafuta na gesi,,tukichelewa itakula kwetu.,kwani ushindani ni mkubwa,Msumbiji washagundua zaidi ya 150 trillion cubic feet,,wakati sisi tumegundua 43 trillion cubic feet tu..TUKUMBUKE GESI NA MAFUTA UPATIKANA TU KULE YANAPOTAFUTWA.
You can't be serious. USD 100 tu, Mengi hawezi kukosa hicho kiasi. Hata kama ni zaidi, kwani kazi ya Wizara ya uwezeshaji ni nini? Iwawezeshe wazawa basi waweze kutafuta na kuvuna gesi.Sekta ya mafuta na gesi ni moja ya sekta zinazohitaji mitaji mikubwa na tekinolojia ya hali ya juu,kwa mfano kuchimba kisima kimoja cha baharini kina kirefu(offshore deep water) kinahitaji si chini ya $100 na pia sio kwamba 100% utafanikiwa kupata gesi ya kibiashara kwa hiyo risk ni kubwa,,Mengi anapodai heti serikali isitoe leseni kwa wageni na kusubiri wazalendo waje wawekeze hilo swala si sahihi kabisa,kwani hapa Tanzania hakuna mtu binafsi mwenye msuli wa kuwekeza ktk gesi sembuse kina kirefu cha maji,na pia akumbuke si kweli kua Tanzania haina sera ya mafuta na gesi,sera ya mafuta na gesi ipo na ndio iliyotumika kutoa leseni zilizopita,,pia akumbuke tuna ushindani wa kuvutia uwekezaji ktk sekta hii,kwani kwa sasa Afrika mashariki nzima nchi zipo ktk tafiti za mafuta na gesi,,tukichelewa itakula kwetu.,kwani ushindani ni mkubwa,Msumbiji washagundua zaidi ya 150 trillion cubic feet,,wakati sisi tumegundua 43 trillion cubic feet tu..TUKUMBUKE GESI NA MAFUTA UPATIKANA TU KULE YANAPOTAFUTWA.
Ninachokiona mimi hapa ni wajanja wachache wanataka wapewe hivyo vitalu halafu waviuze kwa wawekezaji. Hao ndiyo Watanzania ninaowajua mimi hasa wanaowekeza kwenye madini. Mengi si ana vitalu vingi vya madini, amefanya navyo nini?