Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,030
- 40,108
Ushauri wangu tafuta bwana akuoe au beba mimba uwafumbe mdomo.Jamii forum ni sehemu sahihi ya kupata ushauri,samahani Kama ntakuwa nawakera kuleta mada mpya kila siku Nina Visa na mikasa kwenye life langu.
Mimi ni mtoto wa 5 Kati ya familia yenye watoto 8,sitaielezea familia yangu kwa undani Kuna watu watafahamu code,nina diploma ya uhandishi wa habari nilisomea chuo x mwaka 2019,now napiga harakati za kuuza nguo za mitumba za kike, biashara hii imenikutanisha na rafiki wengi wa kike wengine tupo closed Sana Kuna time tunatembelea.
Najielezea Mimi kimuonekano Niko na character za kitomboy jinsi navyovaa na baadhi ya maisha yangu kwa ujumla Ila ni mwanamke mzuri tu.
Shida natishiwa Sana mtaani na wanaume eti Nina tabia ya usagaji niachane wake zao wakati sio kweri urafiki wangu upo kibiashara imefanya mpaka biashara yangu haiendi vizuri,tatizo muonekano wangu na lifestyle yangu.
Wana Jamii forum naomba mnipe majibu yenye staha na mazuri
Uhandishi[emoji777], kweri[emoji777]Jamii forum ni sehemu sahihi ya kupata ushauri,samahani Kama ntakuwa nawakera kuleta mada mpya kila siku Nina Visa na mikasa kwenye life langu.
Mimi ni mtoto wa 5 Kati ya familia yenye watoto 8,sitaielezea familia yangu kwa undani Kuna watu watafahamu code,nina diploma ya uhandishi wa habari nilisomea chuo x mwaka 2019,now napiga harakati za kuuza nguo za mitumba za kike, biashara hii imenikutanisha na rafiki wengi wa kike wengine tupo closed Sana Kuna time tunatembelea.
Najielezea Mimi kimuonekano Niko na character za kitomboy jinsi navyovaa na baadhi ya maisha yangu kwa ujumla Ila ni mwanamke mzuri tu.
Shida natishiwa Sana mtaani na wanaume eti Nina tabia ya usagaji niachane wake zao wakati sio kweri urafiki wangu upo kibiashara imefanya mpaka biashara yangu haiendi vizuri,tatizo muonekano wangu na lifestyle yangu.
Wana Jamii forum naomba mnipe majibu yenye staha na mazuri
Zamani jf ilikuaga ya wasomi ila siku hiz dah ina watu wa ajabu ajabuUhandishi[emoji777], kweri[emoji777]
Alafu Cha kushangaza zaidi huyu mleta uzi amejinasibu kuwa amesomea uandishi wa habariZamani jf ilikuaga ya wasomi ila siku hiz dah ina watu wa ajabu ajabu
Tangazo limeeleweka mtoa mada
Sasa si ubadilike mbona rahisiJamii forum ni sehemu sahihi ya kupata ushauri,samahani Kama ntakuwa nawakera kuleta mada mpya kila siku Nina Visa na mikasa kwenye life langu.
Mimi ni mtoto wa 5 Kati ya familia yenye watoto 8,sitaielezea familia yangu kwa undani Kuna watu watafahamu code,nina diploma ya uhandishi wa habari nilisomea chuo x mwaka 2019,now napiga harakati za kuuza nguo za mitumba za kike, biashara hii imenikutanisha na rafiki wengi wa kike wengine tupo closed Sana Kuna time tunatembelea.
Najielezea Mimi kimuonekano Niko na character za kitomboy jinsi navyovaa na baadhi ya maisha yangu kwa ujumla Ila ni mwanamke mzuri tu.
Shida natishiwa Sana mtaani na wanaume eti Nina tabia ya usagaji niachane wake zao wakati sio kweri urafiki wangu upo kibiashara imefanya mpaka biashara yangu haiendi vizuri,tatizo muonekano wangu na lifestyle yangu.
Wana Jamii forum naomba mnipe majibu yenye staha na mazuri
🤔🙌Ww sema una mshawasho usaidiwe .....kuna zoa zoa kibao umu watakusaidia kukukuna kinyama kinachowasha
"Mhandishi" wa habari acha vituko.Umeshajua changamoto zako ni zipi.Sasa ndiyo ubadilike na kujiweka kama mwanamke.Utamaliza utata.Jamii forum ni sehemu sahihi ya kupata ushauri,samahani Kama ntakuwa nawakera kuleta mada mpya kila siku Nina Visa na mikasa kwenye life langu.
Mimi ni mtoto wa 5 Kati ya familia yenye watoto 8,sitaielezea familia yangu kwa undani Kuna watu watafahamu code,nina diploma ya uhandishi wa habari nilisomea chuo x mwaka 2019,now napiga harakati za kuuza nguo za mitumba za kike, biashara hii imenikutanisha na rafiki wengi wa kike wengine tupo closed Sana Kuna time tunatembelea.
Najielezea Mimi kimuonekano Niko na character za kitomboy jinsi navyovaa na baadhi ya maisha yangu kwa ujumla Ila ni mwanamke mzuri tu.
Shida natishiwa Sana mtaani na wanaume eti Nina tabia ya usagaji niachane wake zao wakati sio kweri urafiki wangu upo kibiashara imefanya mpaka biashara yangu haiendi vizuri,tatizo muonekano wangu na lifestyle yangu.
Wana Jamii forum naomba mnipe majibu yenye staha na mazuri
Pimbi How are you doing?
Unanificha Wewe Maana Kote Nikutafutapo Hupatikani Hivi Karibuni Walahi.Pimbi nimekumiss
Nani huyo anakuficha lakini??
Mimi niko poa