Muonekano wangu ndio tatizo

Kama unaweza kubadilika na ukabadilisha life style yako obviously utom boy utaondoka na unaweza kupata mume., ha ha haaaa ila kama utakomaa nao daaah umri unaenda utakuja amka too late..,
 
Tukupe majibu yap mbona hakuna swali ulilo uliza?
 
Vaa kama mwanamke..Alafu jitahidi upate Mimba
 
We tomboy pita kule
In dulla makabila voice
 
Ww sema una mshawasho usaidiwe .....kuna zoa zoa kibao umu watakusaidia kukukuna kinyama kinachowasha
 
Weka picha
 

Tatizo umeshalijua unaomba ushauri wa nini sasa?badilika tu uishi kama wanawake wengine..


Au njoo inbox nikupe maelekezo zaidi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…