Muonekano wako umechangiaje kufaulu au kufeli kwenye maisha yako?

Top TZ

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
221
250
Habari JF,

Tulikuwa tunafanya bodaboda mahala. Sasa kuna jamaa alikua na kamuonekano fulani kazuri (HB) sasa basi kila mteja akija tumepanga watu 7 anamuita yeye.

Achilia hiyo alikuwa na wateja kibao hasa kina dada! Maana kila akiwabeba hawashuki bila kumuomba no. Kila tukifunga mahesabu jioni yeye bunda.

Akajaga kapata zari na mama mbunge sasa hivi jamaa anatembelea ndinga si bodaboda.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom