Muonekano wako umechangiaje kufaulu au kufeli kwenye maisha yako?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,088
2,703
Habari JF,

Tulikuwa tunafanya bodaboda mahala. Sasa kuna jamaa alikua na kamuonekano fulani kazuri (HB) sasa basi kila mteja akija tumepanga watu 7 anamuita yeye.

Achilia hiyo alikuwa na wateja kibao hasa kina dada! Maana kila akiwabeba hawashuki bila kumuomba no. Kila tukifunga mahesabu jioni yeye bunda.

Akajaga kapata zari na mama mbunge sasa hivi jamaa anatembelea ndinga si bodaboda.
 
Tulichanga hela kununua mbuzi kwa ajili ya mashindano. Kipindi kile tuko wapya form five hatujui nani anajua mpira nani hajui.
Jamaa mmoja kwa vile amekomaa na sura "imekakamaa" vizuri akawekwa beki kumbe hajui kitu. Tukafungwa mbuzi wetu akaenda bure.
😂😂😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom