Muonekano wa Simon umeniacha hoi......

Muonekano wa Simon umeniacha hoi......

Weee mtoto....!!!

Ngoja aje kukukata mitama hapa hapa uwe kibogoyo ghafla .....😄😄
Cheo changu usikizeeshe mi ni mtoto ndio lakini ni mtoto mtundu mwenye manjonjo yake,tuliza hizo figo nizihudumu taratibu..😁
 
Cheo changu usikizeeshe mi ni mtoto ndio lakini ni mtoto mtundu mwenye manjonjo yake,tuliza hizo figo nizihudumu taratibu..😁

Baaabuuuuuuuu.......

Njooowooooo hukuuu....!!

Kuna katoto hapa kanataka kuvuta ugoro wako, mi nakakataza hata hakasikii......!🤪
 
Baaabuuuuuuuu.......

Njooowooooo hukuuu....!!

Kuna katoto hapa kanataka kuvuta ugoro wako, mi nakakataza hata hakasikii......!🤪
Usimpigie kelele bosi wangu alienipa kazi hii kaa kwa kutulia na uchague nikutulize au utatulia..?
 
Usimpigie kelele bosi wangu alienipa kazi hii kaa kwa kutulia na uchague nikutulize au utatulia..?

Loooh...!!

Kweli wewe Kiberenge mwenye Kipururu chake....!😄
 
Simon amekwenda na busara zake aise,mi ningeomba namba
 
Chagua kwanza halafu vipururu baadae..

Nnavyopenda kula....!

Nachagua chocolate mafle and wafle...

French toast...

Potato squash....😋😋😋
 
Sikufikia vigezo vyake....

Yaonekana ni mstaarabu tuu, alitaka kampani ya mtu wa kushiriki nae mlo wa chana tuu basi.

Tulinyanyuka wote mezani ila tulipotoka mlangoni tuu kila mtu alielekea upande wake...
Siku ya 3 lazma achukue namba huyo😅 baharia mwandamizi
 
Siku ya 3 lazma achukue namba huyo😅 baharia mwandamizi

Aahahahhaaaaaa

Sasa siku ya tatu atanionea wapi wakati huo mgahawa mi siendi kila siku kula...!?

Ilitokea tuu .....
 
Aahahahhaaaaaa

Sasa siku ya tatu atanionea wapi wakati huo mgahawa mi siendi kila siku kula...!?

Ilitokea tuu .....
Bahati yako 😅 ila najua utarudi tu kumvizia muhuni😎
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom