Muonekano wa Simon umeniacha hoi......

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
21,222
36,239
Paukwa....!

Ikawa asubuhi, ikawa jioni....

Hii ya jana mchana, bado ya moto kabisa ....

Basi bwana, jana mchana nilipita mgahawa mmoja jijini Daslamu kupata mlo wa mchana. Nilikuwa mwenyewe, wakati nasubiri chakula nikatoa kitabu changu cha komedi nikaanza kusoma.

Nikaanza kucheka mwenyewe mwisho napasuka mbavu na kitabu. Akanistua mhudumu... samahani bibi, kuna kaka yule palee ameniomba niulize kama uko mwenyewe mjumuike pamoja chakula....

12F72EA3-0057-4457-A4DB-1F8E78829BAE.jpeg



Kwanza sikumuelewa like anataka kula chalula changu ama...!! How....!!๐Ÿ˜ณ

Wakati najishauri kujibu huyo kaka akaja, akatusabahi... samahani mwanamama, naweza kuketi hapa nami nikasikiliza usomacho tucheke wote?

Nikajikuta natabasamu, nikamwambia pasi na shaka karibu. Kumbe nae alikuwa ashaagiza msosi wake, mhudumu akaondoka akatuacha.

Huku nyuma yeye (Simon) ndo akageuka kitabu cha komedi. Yaani alianza nipigisha stori za kuchekesha nilicheka hadi nikamwambia inatosha, ntashindwa kulaโ˜บ.

Sababu ya kuleta huu uzi, Simon ni mkaka mtanashati, mcheshi, mrefu mweusi (ila si tii). Sautiiiii...

Sauti jamani sauti yakee......

Mimi hoooiiiiiii aaahahahahaaaaaaa loooh...!

Kiufupi nimemu - admire...๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜

Sijui nini kilimvuta aje kwenye meza yangu, ila hatukubadilishana namba za simu na kila mtu alilipa bili yake.

47AF62B4-099B-4AE0-8638-13EA041EC2D0.jpeg


Saa hii na flash back memories, natabasamu tuu...๐Ÿ˜Š.

Kasinde โ˜บ๏ธ.
 
Kwani unafikiri ni stori ya kweli..? Huoni imeletwa usiku ni ndoto hii. Wanaume wa hivyo hawapo afrika..๐Ÿ˜‚

Kipururu kinakusumbua eeeennhhhh

Ngoja niendeleze....๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Sikufikia vigezo vyake....

Yaonekana ni mstaarabu tuu, alitaka kampani ya mtu wa kushiriki nae mlo wa chana tuu basi.

Tulinyanyuka wote mezani ila tulipotoka mlangoni tuu kila mtu alielekea upande wake...
Lakini mara nyingi kampani ya hivi inakuwa nzuri zaidi kuliko ile ya kutongozana. Kwa sababu mnaweza kuishia kuwa marafiki wakubwa. Lakini mkishatongozana ukaribu unakuwa siyo mkubwa sana, hata kimaongezi mnakuwa limited sana kwenye topic za kuzungumza.
Mngeweza kuwa marafiki wakubwa sana kama mngeendeleza mawasiliano.
 
Lakini mara nyingi kampani ya hivi inakuwa nzuri zaidi kuliko ile ya kutongozana. Kwa sababu mnaweza kuishia kuwa marafiki wakubwa. Lakini mkishatongozana ukaribu unakuwa siyo mkubwa sana, hata kimaongezi mnakuwa limited sana kwenye topic za kuzungumza.
Mngeweza kuwa marafiki wakubwa sana kama mngeendeleza mawasiliano.

Umesema ukweli kabisa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom