Muonekano wa Mlima Meru kutokea stand ya Arusha mjini...hapo zamani

View attachment 1012405

picha ilichukuliwa miaka ya 70 huko Arusha na mtalii mmoja ambaye alitembelea nchi za Tanzania na Uganda

Zamani wanene walikuwa ni kama hakuna ...ila sasa kaa...Yaani vyakula vya siku hizi duh...kuku wa wiki tatu, mayai nayo ya wiki mbili, embe nazo mti umepandwa miaka miwili na unazaa duh...watu wa siku hizi wataacha kunenepa kweli???!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…