Onesha na muonekano wa sasa mkuu kucompare na huo muonekano wa zamani ili inogeshe habari yako zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watu bado wapo?angalau wanifafanulie tu jinsi mazingira yalivyokuwa mazuriView attachment 1012405
picha ilichukuliwa miaka ya 70 huko Arusha na mtalii mmoja ambaye alitembelea nchi za Tanzania na Uganda
HII STEND NI KAMA YA LEO NAIBORI ANAYEBISHA AWEKE PICHA YA STEND YEYOTE YA KENYAView attachment 1012405
picha ilichukuliwa miaka ya 70 huko Arusha na mtalii mmoja ambaye alitembelea nchi za Tanzania na Uganda
View attachment 1012405
picha ilichukuliwa miaka ya 70 huko Arusha na mtalii mmoja ambaye alitembelea nchi za Tanzania na Uganda
Haiwezekani kuwa same place kwasababu zinapoonekana nyumba kuna makaburi ya miaka mingi na hapajawahi kuwa na nyumbathe same place
NAIBORI!!HII STEND NI KAMA YA LEO NAIBORI ANAYEBISHA AWEKE PICHA YA STEND YEYOTE YA KENYA