Muonekano Unasaidia

Six pack zinapendwa na wanafunz watoto, wanawake wanaojitambua wanatuzimia sie wenye vitambi vya kufutia simu
 
Mwonekano + shekeli
 
Kitambi na manyama uzembe ni kiashiria za life style mbaya.Hakuna kitambi kizuri useme ni cha kishikaji.
 
....Japan....mkuu tatzo huku kwetu n joto[emoji23][emoji23]
Unatembea kufua wazi ukiwa umevaa kikaptula Cha kufanana na Boxer...
.
WADADA waseme Jamani labani og. Unsexy body...wow eight pack...[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Kitambi cha kuvalia taulo wakati wa kwenda kuoga ni muhimu kuwa nacho.
Ondoa vyote ila kitambi cha taulo ni muhimu kwakweli[emoji23]
 
Nimekuja kugundua Mabinti wanatafsiri Kitambi tofauti na tafsiri yetu sisi wanaume.

Kwao ni ishara kuwa ni "Uvivu"...Kwa hivyo wanaona hata shughuli nzito kwenye sita kwa sita huwezi kuwa nayo.
Lakini wengine wanatafsiri na yakutolea ipo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…