Wengine hivyo vitambi na nyama uzembe mnatengeneza ninyi wenyewe
Bro uko kwenye wrong society just in a wrong timeView attachment 1675571
ndiyo hivoNimekuja kugundua Mabinti wanatafsiri Kitambi tofauti na tafsiri yetu sisi wanaume.
Kwao ni ishara kuwa ni "Uvivu"...Kwa hivyo wanaona hata shughuli nzito kwenye sita kwa sita huwezi kuwa nayo.
Wewe huna kitambi?Utakua na Nyota ya Ukimwi.