95% ya wanunuzi wa simu duniani wanaangalia bei na sio uzuri wa simu.
Samsung amefanya vizuri sokoni kwasababu alitarget zaidi middle na low income people.
Masoko yake makuu ni India, China, Africa na Latin America. Hizo flagships anauza kwa wachache sana kuliko hizo midrange zake.
Hizo zote ni emmerging markets ambazo zina potential ya mauzo ya midrange phones. Na ndo anazouza units nyingi.
Ingekuwa watu wanaangalia uzuri wa simux kwanini tecno na infinix wanafanya vizuri Tanzania na sio Samsung?
Consumer pattern ya watanzania ni sawa na dunia nzima.wanunuzi wa tecno na infinix tanzania wanaongozwa na ushamba tu wala sio kipato[emoji28][emoji28].
simu kama A50 sasa hivi dukani unaipata mpaka kwa 350. mtu anakwenda kuparamia infinix la laki 380 unasema bei inaongea hapa!!!
pixel anakwenda kutoa midrange yake 6a wacha tuone kama itatia mguu kwenye a33,a73,a53 nk.
siku inakaa kienyeji mpaka inakera yaani.
Os ya kwao na simu zao,umeona wanacho deliver!!!!
kuna nini zaidi ya camera!!!!
Kiongozi ni wapi mtu anaweza kupata A50 mpya kwa kwa shs laki tatu na nusuwanunuzi wa tecno na infinix tanzania wanaongozwa na ushamba tu wala sio kipato[emoji28][emoji28].
simu kama A50 sasa hivi dukani unaipata mpaka kwa 350. mtu anakwenda kuparamia infinix la laki 380 unasema bei inaongea hapa!!!
pixel anakwenda kutoa midrange yake 6a wacha tuone kama itatia mguu kwenye a33,a73,a53 nk.
siku inakaa kienyeji mpaka inakera yaani.
Kiongozi ni wapi mtu anaweza kupata A50 mpya kwa kwa shs laki tatu na nusu
Software iko makini operations zake ziko well integrated inafanya kazi smooth tofauti na android zingine Pixel ina perks kibao
Tatizo unataka uifananishe Pixel ya 600$ na simu za thousand dollars
Boxi sio issue ila isiwe tu imeibiwa mikononi mwa mtu....unaweza kuipata kwingi tu,tatizo mnataka na mabox.
Hii ni kweli kabisa mkuu.kaka laucher haipasui ndani,inaishia mlangoni.
ndio maana samsung,huawei,na xiaomi wakawa na store yao,zile zao unabadilisha kabisa muonekano wa simu nje mpaka ukifungua default apps.
Android ya pixel ndo ile OG. Yani haina nyongeza hata 1.iphone hata ya $699 ni ya moto kwenye perfomance.
uliishatumia samsung z2 tizen,ukaona balaa lake!!!
ile ilikua samsung inayotumia OS yao wenyewe,ilikuwa balaa,sasa google hawana cha kujitetea,UI la kizushi kabisa.
Nchi ngumu hiiUsed hazijatoka?
Afu ina vijana wa hovyoNchi ngumu hii
Bqhati mbaya sana kila mtu Tz anajua kila kituAfu ina vijana wa hovyo
Ila kwa ushamba tunaongoza tuna ujanja wa mdomoni tu.Bqhati mbaya sana kila mtu Tz anajua kila kitu
Kweli kabisaIla kwa ushamba tunaongoza tuna ujanja wa mdomoni tu.
Android ya pixel ndo ile OG. Yani haina nyongeza hata 1.
Hao wakina Samsung ndo wanaichukua wao wanaongeza skins zao inaleta ule muonekano.
imepauka sana,yaani haina upako kabisa.
Eti upako[emoji28]... sema tumetofautiana matumiz na upendeleo mm sipend UI iliyokuwa customized sana mara fonts zimebadilika, mara marangi kibao na apps zinajazwa ambazo sizitumii hapana. baadhi ya hizo brands za kichina wanaweka hadi ads eti
angalia IOS jinsi ilivyo mkuu.
ndio maana iship huwa wana kauli zao kwamba apple imejitoshereza,wala sio uongo.
kitu kuwa simple haina maana kiwe kibaya,hat fonts imewashinda kutafuta yenye muonekano yaani.