adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,699
Kweli ukipenda hata chongo utaona kengeza!mi naona hapo fresh tu shega sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaa hizi fasihi nyingine hizi daahhUpara unabisha hodi walahi
Hahahaha
duuuuhAmekuwa beaut anafaa sana kwa watumiaji wa mtandao pendwa dalisalama 071
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hereni ya nini bado kuvaa pedi huyu
Kweli! I can see this time ametarget soko la mashoga maana ana muonekano kama bibiJamani huyu sio waziri ni msanii Kuna audience kaitarget soko lake ndo analoangalia na ukiona humuelewi basi haijaandikwa uwe shabiki wake