fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,608
- 7,167
Leo kocha morocco katangaza timu ya taifa,mimi simchukii lakini ni dhahiri hana uwezo wa kufindisha timu ya taifa na hata kuongea hawezi,nimemsikia leo ni wa kumhurumua tu.
Nadhani ni mradi wa mtu fulani hapo tff kumpa yeye ukocha ili wagawane mshahara.
Kituko cha mwaka ni julio alichoongea leo ni takataka tupu,kuwalaumi waandishi na kumtaja shafi dauda kuwa ni mtu mouuzi fulani hivi,kwani analazimisha mchezaji wake kachwrle achaguliwa taifa stars.
Julio hafai kuwa kocha,julio ni mropokaji tu.Tff chukueni hatua haraka