julio

Júlio is a Portuguese masculine given name. The equivalent in Spanish is Julio.
The diminutive form is Julinho, as in Júlio César Teixeira known as Julinho, a Brazilian footballer.

View More On Wikipedia.org
  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kocha Julio awatukana waandishi wa Crown Fm kipindi kikiwa live asubuhi hii

    Baada ya Kocha Jamhuri Kihwelo Julio kufutwa kazi jana na klabu yake ya Mashujaa Fc leo Crown Fm wakaamua kumpigia simu. Juma Ayo akapiga simu, akakutana na matusi live bila chenga. Julio akawaambia nyie Crown Fm nawachukia sana maana hapo kuna waandishi was*nge sana, Ikabidi Crown Fm wa-...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Julio: Makocha Wazawa tuliipeleka Timu AFCON tukatolewa kiuhuni, lilikuwa jambo baya sana lile

    Kocha wa Mashujaa FC, Jamhuri Kihwelo 'Julio': “Sometimes napenda Kujilipua, singoji mpaka nife mje mnisifie, kazi aliyofanya Hemed Morocco, Juma Mgunda na mimi kuipeleka timu AFCON afu tukatolewa kiuhuni ni jambo baya sana.
  3. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Muondoeni Julio timu ya taifa, hafai hafai kabisa

    Leo kocha morocco katangaza timu ya taifa,mimi simchukii lakini ni dhahiri hana uwezo wa kufindisha timu ya taifa na hata kuongea hawezi,nimemsikia leo ni wa kumhurumua tu. Nadhani ni mradi wa mtu fulani hapo tff kumpa yeye ukocha ili wagawane mshahara. Kituko cha mwaka ni julio alichoongea...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Bila ushabiki, hebu wapange hawa makipa 1 hadi 5 kwa Kuzingatia ubora wao: Dida, Casillas, Buffon, Cech na Julio Cesar

    Kwa kuzingatia ubora wa makipa hawa bila ushabiki, panga kulingana na ubora wao waliowahi kuonesha kipindi wanacheza Soka kuanzia 1 hadi 5: Julio Cesar – Aliwahi kuwa bora duniani akiwa na Inter Milan, akijulikana kwa wepesi wake na uwezo wa kuokoa mipira ya mbali, lakini kiwango chake kilikuwa...
  5. Carasco Putin

    JamiiForums Tanzania FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

    Tarehe imewadia, Klabu za Yanga na Azam hapa nchini zinaenda kukiwasha Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga, jiji lenye raha yake, waja leo waondoka leo. Kikosi cha Yanga kina nyota tishio wapya kama Skudu, Konkon huku Azam ikiwa na nyota wapya machachali weka mbali na watoto Feisal, Bangala...
  6. Mributz

    JamiiForums Tanzania Jamhuri Kihwelo (Julio) apata timu DSM

    Timu ya Manispaa ya Kinondoni imetangaza kuvunja Benchi lake la Ufundi kutokana na kutoridhishwa na mwenendo wake na kumtangaza Kocha Jamhuri Kihwelo 'Julio' kuchukua mikoba ya Thiery Hitimana. ''Bodi ya timu ya Manispaa ya Kinondoni (KMC FC) baada ya kukaa kikao mapema leo asubuhi imeamua...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Julio: Nimevutiwa sana na Mayele, ni straika wa ukweli

    Kocha Jamhuri Kihwelo Julio amesema kwa msimu huu mshambuliaji huyo wa Yanga, amefanya kazi nzuri n ani straika halisi kwa kuwa anajua kufunga. Amesema “Licha ya kuwa mpira wa sasa hivi combination imesababisha wachezaji wengi kufunga magoli lakini Mayele anaweza kufunga popote. “Tabu...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Julio: Kwa Simba hii ya sasa kuna wachezaji watano tu wanaoweza kuisaidia timu

    Kocha Jamhuri Kihwelo Julio amedai kuwa kikosi cha Simba cha sasa kina wachezaji watano tu ambao wanaweza kuisaidia timu ndiyo maana hakuna matokeo mazuri. “Wachezaji wa sasa ambao wanaweza kuisaidia Simba hawazidi watano tu, jiulize ile Vipers iliyocheza na Simba kuna timu pale? Wale...
Back
Top Bottom