Munkari

Munkari

Natoa pole zangu za dhati kutoka ndani ya uvungu wa moyo wangu kwa Munkari natumaini miss neddy atamfikishia......get well soon.....
 
Last edited by a moderator:
Kumbe ni mgonjwa?!

Sie wengine hatuna taarifa ya maradhi yako, ndio kwanza napata taarifa hapa baada ya kupitia michango ya waliontangulia.

Pole sana Munkari, tunakuombea upone

Asante sana HARUFU
Am okey now!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom