kidogo afadhali kasema ila bado anaendelea na tiba
Asante sana mwambie namuombea sana
miss neddy mpe pole sana Munkari aise tunamuombea sana apate uponyaji
Mlishindwa kuulizana mkiwa chumbani au mmetengana?
Tukifika chumbani hatuongei mambo ya nje ya chumba......
Amen ....She will get well the soonest