Munishi kuunguruma Kitunda Ukonga leo

Ndio maana huwa naipenda CDM,wakati wao wanapiga porojo mitandaoni sisi tunajenga chama tu!

Mungu anajua mnafiki na kwa mabaya wanayoyafanya ccm,mungu atawaumbua.Viva chadema.peoplesssssssss
 
Kejeli nyingine niza kijinga...fanya mchezo na vitu vyote ila usilete kejeli kwa Yesu maana utakufa kifo kibaya.

Ndugu usimlalamikie kichaa kwani na wewe utaonekana kichaa. Vijana wa Interahamwe hawana akili kwani ni kundi la vichaa wa Interahamwe hao
 
Huyu kijana anachapa Kazi sana,tunamuombea aendelee kuwachachafya hao magambas.
 
anaitwa deogratius aikaeli mbowe hili la munishi ni kuwapoteza wananchi. Angalia hata sura ni mbowe hivyo hivyo ispokuwa deo ni mwupe,freeman ni mweusi......hatudanganyiki

Umevurugwa akili yako haipo vizuri,mnafikiri mnaweza kuzuia mafuriko kwa viganja?Achana name chadema.
 
Chama cha kikabila hiki, viongozi waandamizi wote kina massawe.
 
Declare interest...jina halisi la deogratius sio munishi ni mbowe...kama kusoma hujui hata picha huoni?

Nawewe jina lako sio Ifweero kumbe ni INTERAHAMWE
 
interahamwe bila kujipambanua kwa ukabila hamjisikii vizuri.nyambafu
 
Waacheni Intetrahamwe wapige kampeni zao chafu cc chadema tunavuna wanachama wao.
 
Mungu au yesu? Bora utembee na hirizi,sumu au tindikali kuliko kuudanganya umma. Hakuna chembe ya mungu kwa chadema...mungu hana chama.simameni mhesabiwe acheni ulaghai

Aliyewabatiza CCM kwa jina la Interahamwe hakukosea. CCM daima mnawaza kujeruhi, kuangamiza na kuua kabisa. CCM ina mambo inawaza na kupanga mambo ya kishetani na kichawi chawi. Hizi ni tabia zilizopitiliza za Interahamwe. Ndio maana nchi haisongi mbele kwa fikra kama hizi
 
..Katika kunadi sera za chadema kamanda amewaomba wananchi waendelee kukiunga mkono kwani ndicho chama pekee kinachoweza kumkomboa mwananchi kwani ndio mtetezi pekee wa haki za wanyonge..

Chadema ndio chama pekee?mtetezi pekee??hivi huyu Katibu hajui kuwa Chadema sasa ipo kwenye ushirikiano na CUF na NCCR?hizi lugha hizi zitaiua UKAWA ambayo sasa ndio imeushikilia uhai wa Chadema...
 
Chadema ndio chama pekee?mtetezi pekee??hivi huyu Katibu hajui kuwa Chadema sasa ipo kwenye ushirikiano na CUF na NCCR?hizi lugha hizi zitaiua UKAWA ambayo sasa ndio imeushikilia uhai wa Chadema...

Akili yako fupi.

Nani alitangaza uwepo wa UKAWA ndio mwisho wa shughuli za ujenzi wa vyama vinavyounda UKAWA?
 
Mnavishwa koti la uzalendo na ukamanda wakat wenzenu Mbowe na Slaa wanapiga hela. Amakweli wajinga ndio waliwao!
 
Mnavishwa koti la uzalendo na ukamanda wakat wenzenu Mbowe na Slaa wanapiga hela. Amakweli wajinga ndio waliwao!

CCM imewapumbaza sana vijana kama nyie. Imeshawaaminisha kila kitu na kila mtua anafilisi taifa hili.

Muda si punde hata wewe utakombolewa tu kiakili.
 
Huku CCM na vibaraka wake ACT wakihangaika kuchafua Chadema Mungu anazidi kukipigania.

Mungu yupi huyo anayeipigania Chadema? Maana hata shetani naye anaitwa mungu.
 
Declare interest...jina halisi la deogratius sio munishi ni mbowe...kama kusoma hujui hata picha huoni?

Unajitahidi kulazimisha mambo yasiolazimishika. Tabia chafu ya kurithishina nafasi za uongozi CHADEMA haipo kama ilivyo kwa CCM. Janauri Makamba kutoka kwa Yusuph Makamba, Ridhiwani Kikwete mtoto wa Jakaya Mrisho Kikwete .nk.
 
Mungu au yesu? Bora utembee na hirizi,sumu au tindikali kuliko kuudanganya umma. Hakuna chembe ya mungu kwa chadema...mungu hana chama.simameni mhesabiwe acheni ulaghai

Eti mwenyekiti wa magamba alibadilisha jina akaitwa John hivi ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…