Munishi kuunguruma Kitunda Ukonga leo

Munishi kuunguruma Kitunda Ukonga leo

Wewe ndiye unayeeneza ukabila kama hujielewi, sisi wengine ni wabena tupo Njombe huku na tupo Chadema, kauli zako zitakulaani hizo, usikubali kutumika hovyo, tunajua ccm ndio waasisi wa udini, ukabila, ukanda nk, watanzania hatukuwa na chuki hizo, ccm kwa uroho wa madaraka baada ya kushindwa kufanya siasa zao kilaghai, wananchi tunajielewa saizi, hizi kauli zitawamaliza, kukuthibitishia kuwa ccm ni wabaguzi, angalia vijana wenzenzenu wasaka tonge wanaotafuta urais wanavyofanya ubaguzi kwa kuwabagua wazee, mbio za panya huishia sakafuni.
 
Wewe Mbena utabeba maspika tu labda ukubali kufuta viatu vya kina Mbowe, mbona hamjielewi.
 
Back
Top Bottom