Munishi kuunguruma Kitunda Ukonga leo

Munishi kuunguruma Kitunda Ukonga leo

Ndio maana huwa naipenda CDM,wakati wao wanapiga porojo mitandaoni sisi tunajenga chama tu!

Mungu anajua mnafiki na kwa mabaya wanayoyafanya ccm,mungu atawaumbua.Viva chadema.peoplesssssssss
 
Kejeli nyingine niza kijinga...fanya mchezo na vitu vyote ila usilete kejeli kwa Yesu maana utakufa kifo kibaya.

Ndugu usimlalamikie kichaa kwani na wewe utaonekana kichaa. Vijana wa Interahamwe hawana akili kwani ni kundi la vichaa wa Interahamwe hao
 
Huyu kijana anachapa Kazi sana,tunamuombea aendelee kuwachachafya hao magambas.
 
anaitwa deogratius aikaeli mbowe hili la munishi ni kuwapoteza wananchi. Angalia hata sura ni mbowe hivyo hivyo ispokuwa deo ni mwupe,freeman ni mweusi......hatudanganyiki

Umevurugwa akili yako haipo vizuri,mnafikiri mnaweza kuzuia mafuriko kwa viganja?Achana name chadema.
 
Chama cha kikabila hiki, viongozi waandamizi wote kina massawe.
 
hujakosea ndugu yangu yoote nimeafiki ila tatizo linalokuja hata kutoa hiyo elimu kuna taabu nyingi,uelewa wa watu unatofautiana na wengi wa wenye kuelewa haraka hawapo ktk nafasi muhimu za kuweza badili njia.sasa waliobaki ni wale walioktk tabaka la walionazo na walio na influence.

Hatuna ujanja hapa tunatakiwa kulijua soko kwa haraka sana, haraka inayozidi hii haraka ya ubadilikaji wa mambo ili tuweze kuikuta dunia na kuanza kwenda nayo. Na pia hatutoweza fika kwa pamoja nchi nzima na wengine hatutofika kabisa.

Ndio maana ninasema elimu sahihi na kuachia time iamue tutakuwa wapi.tutakuwa uchochoro wa wenzetu kwa kipindi kwani hatuna ujanja. Cha msingi ni kujaribu punguza madhara ya kupokonywa vyote kabla hatujazibuka. Yaani hata hao vipofu wakitupwa mjini wengi kama watafuata njia tofauti ipo chance baadhi wakapona pengine wataanguka ktk rescue team, wengine wataanguka mashimoni wengine watagongwa, etc.

Hapa kidogo nataka elezea kidogo concept ya adapatability na evolution kwa maan isiyo ya kibayojoa sana. Yaani wapo watakaojifunza mazingira na kuweza jua watakavyojibadili na kuweza yatumia kwa faida ya upande wao. Ila bado hatutafika pamoja na mwishowe tutakuwa na ugonjwa mwingine wa kutibu yaani kuwa na watu wachache walioshikilia uchumi uliokuwa km ilivyo kwa nchi km india, south africa etc. Si muda mrefu utakuta watu chini ya 10% wakishikilia 99.999% ya uchumi wa nchi inayoweza itwa imepiga hatua. Pengine tutakuwa tumerusha rocket anga za juu, tunauza bidhaa na elimu, tuna neuclear na mengine wanayoweza angalia nayo nguvu ya taifa. Ila yote yakabaki kwa vigogo.

Bado ni bora hata hao wachache waokoe kila kitu then baadaye tuanze fanya mabadiliko ya ndani km dilution ili kupata mchanganyiko safi na baadaye kuweza poteza hii sumu ya ujinga.

interahamwe bila kujipambanua kwa ukabila hamjisikii vizuri.nyambafu
 
Waacheni Intetrahamwe wapige kampeni zao chafu cc chadema tunavuna wanachama wao.
 
Mungu au yesu? Bora utembee na hirizi,sumu au tindikali kuliko kuudanganya umma. Hakuna chembe ya mungu kwa chadema...mungu hana chama.simameni mhesabiwe acheni ulaghai

Aliyewabatiza CCM kwa jina la Interahamwe hakukosea. CCM daima mnawaza kujeruhi, kuangamiza na kuua kabisa. CCM ina mambo inawaza na kupanga mambo ya kishetani na kichawi chawi. Hizi ni tabia zilizopitiliza za Interahamwe. Ndio maana nchi haisongi mbele kwa fikra kama hizi
 
..Katika kunadi sera za chadema kamanda amewaomba wananchi waendelee kukiunga mkono kwani ndicho chama pekee kinachoweza kumkomboa mwananchi kwani ndio mtetezi pekee wa haki za wanyonge..

Chadema ndio chama pekee?mtetezi pekee??hivi huyu Katibu hajui kuwa Chadema sasa ipo kwenye ushirikiano na CUF na NCCR?hizi lugha hizi zitaiua UKAWA ambayo sasa ndio imeushikilia uhai wa Chadema...
 
Chadema ndio chama pekee?mtetezi pekee??hivi huyu Katibu hajui kuwa Chadema sasa ipo kwenye ushirikiano na CUF na NCCR?hizi lugha hizi zitaiua UKAWA ambayo sasa ndio imeushikilia uhai wa Chadema...

Akili yako fupi.

Nani alitangaza uwepo wa UKAWA ndio mwisho wa shughuli za ujenzi wa vyama vinavyounda UKAWA?
 
Mnavishwa koti la uzalendo na ukamanda wakat wenzenu Mbowe na Slaa wanapiga hela. Amakweli wajinga ndio waliwao!
 
Mnavishwa koti la uzalendo na ukamanda wakat wenzenu Mbowe na Slaa wanapiga hela. Amakweli wajinga ndio waliwao!

CCM imewapumbaza sana vijana kama nyie. Imeshawaaminisha kila kitu na kila mtua anafilisi taifa hili.

Muda si punde hata wewe utakombolewa tu kiakili.
 
Huku CCM na vibaraka wake ACT wakihangaika kuchafua Chadema Mungu anazidi kukipigania.

Mungu yupi huyo anayeipigania Chadema? Maana hata shetani naye anaitwa mungu.
 
Declare interest...jina halisi la deogratius sio munishi ni mbowe...kama kusoma hujui hata picha huoni?

Unajitahidi kulazimisha mambo yasiolazimishika. Tabia chafu ya kurithishina nafasi za uongozi CHADEMA haipo kama ilivyo kwa CCM. Janauri Makamba kutoka kwa Yusuph Makamba, Ridhiwani Kikwete mtoto wa Jakaya Mrisho Kikwete .nk.
 
Mungu au yesu? Bora utembee na hirizi,sumu au tindikali kuliko kuudanganya umma. Hakuna chembe ya mungu kwa chadema...mungu hana chama.simameni mhesabiwe acheni ulaghai

Eti mwenyekiti wa magamba alibadilisha jina akaitwa John hivi ni kweli?
 
Back
Top Bottom