MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,456
- 69,356
na yeye angeletewa mabaki ya f16 angeyakumbuka?
ahmedinejad misimamo mikali sana hawa wazee wako wastani.Tangu aingie Rouhani waajemi wamekuwa na sauti ya wastani,
Angekuwepo yule Ahmedinejad na waziri wake Manoucher Motaki sidhani kama hapo pangekalika.!
Kwa jicho 3 inaonekana huyo Benjamin ana maumivu sana na hakutarajia labda ile F16 itunguliwe kwa kifupi yupo kwenye povuHuyu jamaa ni mkorofi sana,
Kaenda na mabaki ya ndege ya Irani ambayo haina rubani (Drone) akamuuliza waziri wa Iran kama anaikumbuka na akasema ni lazima aikumbuke kwasababu ni yao. Akatuma ujumbe kwamba waambie madikteta wa Iran wasiwajaribu Waisrael. Lakini naona kwa yanayoendelea sasa hivi nchini Syria, Iran na Israel watakuja kutuletea matatizo makubwa sanaaaaa! Mashariki ya kati imekaa vibaya sanaaa na vita ikianza Iran basi India, Pakistan na Uchina watahusika kwa kiasi kikubwa sanaa.
Mashariki ya kati ni jangwa la Damu kwa muda mrefu sana. Tutegemee kuona VISIMA vya Mafuta kuwa VISIMA vya Damu.
Kwa jicho 3 inaonekana huyo Benjamin ana maumivu sana na hakutarajia labda ile F16 itunguliwe kwa kifupi yupo kwenye povu
Ipo hivyo mkuu imemuuma sana hilo tukio.Syria kwa sasa awe makini sana katika kujilinda kwakeBado ana maumivu makali ya wiki lililopita.
Yule Nejad..alikua habari nyingine...leo kungechimbika hatarTangu aingie Rouhani waajemi wamekuwa na sauti ya wastani,
Angekuwepo yule Ahmedinejad na waziri wake Manoucher Motaki sidhani kama hapo pangekalika.!
Samson vs. Wafilisti? Ama Daudi vs Goliati?Siasa za mashariki ya kati ni ngumu sana sanaa.
Ziko kama zile za Ulaya kipindi cha Reformation (Protestants V Catholics)
Wengi tunasema chanzo ni mafuta lakini zimeanza hata kabla ya kristo kuzaliwa.
jamaa atakuwa yupo frustrated. inaonekana mipango yake ya kudistabilize middle east imegonga mwamba baada ya Irani na Urusi kuingilia kati hence povu!!🙂🙂. kaspeech kakipovupovu.Kwa jicho 3 inaonekana huyo Benjamin ana maumivu sana na hakutarajia labda ile F16 itunguliwe kwa kifupi yupo kwenye povu
Hivi alishastaafu? maana sikumsikia kitamboYule Nejad..alikua habari nyingine...leo kungechimbika hatar
jamaa atakuwa yupo frustrated. inaonekana mipango yake ya kudistabilize middle east imegonga mwamba baada ya Irani na Urusi kuingilia kati hence povu!!🙂🙂. kaspeech kakipovupovu.
Hivi alishastaafu? maana sikumsikia kitambo
Mkuu heshima yako...Siasa za mashariki ya kati ni ngumu sana sanaa.
Ziko kama zile za Ulaya kipindi cha Reformation (Protestants V Catholics)
Wengi tunasema chanzo ni mafuta lakini zimeanza hata kabla ya kristo kuzaliwa.
Nakubaliana na wewe Kiongozi; mafuta sio chanzo cha mauwaji hapo Middle East. Tangu enzi za tawala za Babeli, Rumi, Ottoman, n.k. wanachinjana tu hao majamaa. Mudi mwenyewe kakata shingo nyingi sana katika harakati zake zile; watu wengi sana wamekatwa koromeo kwa kigezo cha dini. Duh! Damu nyingi sana zinatoa machozi ardhini ukanda huo.Siasa za mashariki ya kati ni ngumu sana sanaa.
Ziko kama zile za Ulaya kipindi cha Reformation (Protestants V Catholics)
Wengi tunasema chanzo ni mafuta lakini zimeanza hata kabla ya kristo kuzaliwa.
To put it clear; tatizo ni Putin!Fuatilia hii conference utaona kuna vita kubwa sana sanaa inakuja dhidi ya Urusi.
Maana wazungu wameona yote yanayoendelea sasa hivi yana mkono wa Mrusi...Kuanzia silaha za Uchina, Silaha za Iran, Silaha za Korea Kaskazini Ushindi wa Syria. Yaani Agenda imekuwa ni Urusi...