Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 4,680
- 5,653
Kwenye Jf nimeona kuna mabishano yanatokea kwenye mada mbalimbali kuhusu Uwepo
Wa Mungu
YOHANA
1.Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.
4 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.
5 Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza.
Yeremia23:23 Mimi ni Mungu aliye karibu, asema Bwana, mimi si Mungu aliye mbali.
24 Je, mtu ye yote aweza kujificha mahali pa siri, nisimwone? Asema Bwana. Je! Mbingu na nchi hazikujawa nami? Asema Bwana.
Zaburi 14:1
Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.
2 Toka mbinguni Bwana aliwachungulia wanadamu, Aone kama yuko mtu mwenye akili, Amtafutaye Mungu.
We unayesema Mungu hayupo
Unashida gani?